1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni, Saa 12:00 (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
24 Juni 2018

https://p.dw.com/p/30Bjn

Zoezi la upigaji kura limekamilika nchini Uturuki, kukiwa na taarifa za vurugu katika baadhi ya maeneo.
Viongozi wa nchi 16 za Umoja wa Ulaya wakutana mjini Brussels, kujaribu kupata muafaka juu ya sera ya wahamiaji inayosababisha mzozo mkubwa.
England yaifungashia Panama mzigo wa magoli katika mashindano ya kombe la dunia.