1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni Disemba 26, 2021

SK2 / S02S26 Desemba 2021

VIDOKEZO: Viongozi mbalimbali ulimwenguni watuma risala za rambirambi kumuomboleza Askofu Desmond Tutu ambaye ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 90.// Shirika la Hilali Nyekundu la Libya limesema miili ya wahamiaji 27 imepatikana ufuoni mwa bahari nchini humo.// Ndege 7,000 zafuta safari zao kufuatia maambukizi ya Omicron hivyo kuwaathiri mamilioni ya wasafiri msimu huu wa Krismasi.

https://p.dw.com/p/44qbW