1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni, Disemba 25, 2023

SK2 / S02S25 Desemba 2023

Wakristo ulimwenguni washerehekea Krismasi huku Papa Francis akitaka vita vya Gaza vikomeshwe.// Raia Gaza watafuta miili kwenye vifusi baada ya shambulizi linalodaiwa kuuza zaidi ya watu 70 katika usiku wa Mkesha wa Krismasi.// Na rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier asema sote tunatamani ulimwengu wa amani zaidi.

https://p.dw.com/p/4aZQP