1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 31.08.2019

Sylvia Mwehozi
31 Agosti 2019

Mahakama nchini Sudan yamfungulia mashitaka rasmi ya rushwa Omar al-Bashir: Polisi wafyatua gesi ya kutoa machozi kutawanya waandamanaji mjini Hong Kong . Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa antonio Guterres awasili mjini Goma kwa ziara ya siku tatu.

https://p.dw.com/p/3OoGn