1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni 30.12.2017

Yusra Buwayhid
30 Desemba 2017

Iran yawaonya wananchi wake dhidi ya kufanya maandamano zaidi ya kuipinga serikali. Rais wa Urusi Vladimir Putin ataumaini ushirikiano na Marekani katika barua yake ya mwaka mpya kwa Rais Donald Trump. Uturuki yasema Umoja wa Ulaya haukutimiza fedha iliyoiahidi kuwasaidia wakimbizi wa Syria.

https://p.dw.com/p/2q9CH