1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni: 30.10.2022

30 Oktoba 2022

Watu 11 wafariki katika mkanyagano kwenye tamasha la Fally Ipupa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Umoja wa Ulaya umeikosoa hatua ya Urusi kujiondoa katika makubaliano ya usafirishaji nafaka. Viongozi mbalimbali duniani watoa salamu za rambirambi kufuatia vifo vya watu zaidi ya 150 huko Korea Kusini .

https://p.dw.com/p/4Iqtc