1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 30.10.2021

30 Oktoba 2021

Waziri Mkuu wa Italia, Mario Draghi ameufungua mkutano wa kilele wa viongozi wa kundi la nchi zilizostawi na zinazoinukia kiuchumi za G20//Watu wawili wameuawa kwa kupigwa risasi na vikosi vya jeshi vya Sudan wakati wa maandamano ya kupinga mapinduzi ya kijeshi//Vvikosi vya waasi katika jimbo la Tigray nchini Ethiopia vimechukua udhibiti kamili wa mji wa Dessie ulioko kaskazini mwa nchi hiyo

https://p.dw.com/p/42OB0