1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 28.09.2019

28 Septemba 2019

Maziko ya rais wa zamani wa Zimbabwe Robert Mugabe yamefanyiki katika kijiji cha Kutama, Kansela wa Ujerumani Angela Merkel asema Ujerumani imetimiza mengi tangu kuanguka kwa ukuta wa Berlin na vituo vya kupigia kura vyafungwa Afghanistan huku matokeo ya uchaguzi yakitiliwa mashaka.

https://p.dw.com/p/3QQ3D