1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni: 28.08.2022

28 Agosti 2022

Mashambulizi mapya karibu na kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhia nchini Ukraine yazusha wasiwasi kimataifa. Japan yasema itashinikiza Afrika kupata kiti cha kudumu ndani ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Angola yafanya mazishi ya kitaifa ya Rais wake wa zamani.

https://p.dw.com/p/4G9nZ