1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo Ya Jioni: 27.08.2022

27 Agosti 2022

Katika Mkutano wa kimataifa nchini Tunisia, Japan imesema itatoa msaada wa dola bilioni 30 kwa Afrika. Ukraine na Urusi zaendelea kutupiana lawama kuhusu Zhaporizhzhia. Angola yajiandaa kumuaga Dos Santos huku kukiwa na mzozo wa uchaguzi.

https://p.dw.com/p/4G8hL