1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni 21.01.2023

SK2 / S02S21 Januari 2023

Ujerumani yakabailiwa na upinzani kwa kushindwa kuipatia Ukraine vifaru vya kijeshi. Duru za kijeshi za Uingereza zinasema kuwa vita nchini Ukraine vipo katika mkwamo kwenye maeneo matatu. Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema chafanya mkutano wake wa kwanza wa kisiasa, baada ya miaka saba ya kuzuiliwa.

https://p.dw.com/p/4MXOI