1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni 19.11.2017

Yusra Buwayhid
19 Novemba 2017

Rais Robert Mugabe wa Zimababwe atimuliwa kama kongozi wa chama tawala cha ZANU-PF. Saudi Arabia na washirika wake wa nchi za Kiarabu wakutana Misri kuijadili Iran na Hezbollah. Polisi chini Kenya watumia mabomu ya machozi dhidi ya waandamanaji baada ya vifo vya watu wanne.

https://p.dw.com/p/2ntWW