1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni 17.06.2017

Yusra Buwayhid
17 Juni 2017

Bendera zapepea nusu mlingoti huku Ujerumani ikiomboleza kifo cha kansela wa zamani Helmut Kohl. Kansela wa Ujerumani Angela Merkel akutana na Papa Francis mjini Vatican kuelekea mkutano wa kielele wa kundi la G20. Na, Umoja wa Afrika wazisihi Dhibouti na Eritrea kujizuia katika mvutano unaohusu ardhi ya Dumeira.

https://p.dw.com/p/2ervC