1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni 16.03.2019

SK2 / S02S16 Machi 2019

Raia wa New Zealand wameshiriki matukio ya kijamii kuonesha mshikamano na wenzio wa jamii ya waislamu. Polisi mjini Paris imekabiliana na waandamanaji wa vizibao vya manjano waliozusha vurugu. Kimbunga Idai kimeipiga Zimbabwe na kusababisha vifo vya watu 24.

https://p.dw.com/p/3FBNs