1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni 14.04.2019

Yusra Buwayhid
14 Aprili 2019

Rais wa Misri Abdel Fattah al-Sisi akutana na jenerali muasi wa Libya Khalifa Haftar. Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan yaiomba jumuiya ya kimataifa kuunga mkono uongozi wa kijeshi nchinihumo. Na Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis akaribisha Juma Kuu uwanja wa Mtakatifu Peter.

https://p.dw.com/p/3Gkyh