1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 13.01.2018

Sylvia Mwehozi
13 Januari 2018

Kiongozi mpya wa chama tawala cha Afrika Kusini Cyril Ramaphosa, ameapa kupambana na rushwa ambazo zimekidhoofisha chama hicho. Urusi yasema vikwazo vipya dhidi yake vinalenga kuleta ushawishi kabla ya uchaguzi. Na rais wa Tunisia kukutana na vyama vya siasa, wafanyakazi na waajiri.

https://p.dw.com/p/2qo2m