1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni 11.08.2018

Yusra Buwayhid
11 Agosti 2018

Siku moja baada ya Marekani kuiongezea Uturuki kiwango cha ushuru kwenye bidhaa za chuma na bati, Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema nchini yake haitokubali kutishwa. Kenya imewakamata maafisa wawili kwa madai ya rushwa kuhusiana na njia ya reli. Na, Sherehe ya kuapishwa rais wa Zimbawe Emmerson Mnangagwa zaahirishwa.

https://p.dw.com/p/330nx