1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni 11.03.2017

11 Machi 2017

Katika matangazo yetu leo jioni: Ndege ya waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlut Cavusoglu yanyimwa ruhusa ya kutua nchini Uholanzi. Watu wapatao 40 wameuwawa katika milipuko miwili ya mabomu nchini Syria, Umoja wa Mataifa watahadharisha juu ya mgogoro mkubwa wa kibinadamu duniani utakaosabishwa na baa kla njaa

https://p.dw.com/p/2Z3Cj