1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 09.08.2022

SK2 / S02S9 Agosti 2022

Wagombea watatu wa urais wapiga kura yao mapema/Wapiga kura katika kaunti ya Kwale pwani ya kenya wakumbwa na changamoto/ Kakamega, uchaguzi wa wadhifa wa Ugavana wahirishwa/ Kaunti ya Marsabit, wagombea wa kisiasa waishinikiza tume ya uchaguzi IEBC/Idadi ndogo ya wapiga kura imeshuhudiwa katika maeneo mbali mbali nchini Kenya/ Kenya yatajwa kuwa na utofautiwa suala la demokrasia katika uchaguzi

https://p.dw.com/p/4FKr9