1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 08.10.2016

Yusra Buwayhid
8 Oktoba 2016

Kansela, Angela Merkel, wa Ujerumani apigania bara la Afrika lipatiwe misaada zaidi ya kimataifa. Polisi Ujerumani wachunguza mpango wa shambulio la bomu katika mji wa mashariki wa Chemnitz. Na , idadi ya watu waliouawa kutokana an kimbunga Matthew nchini Haiti yafika 900.

https://p.dw.com/p/2R2cN