1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 07.09.2019

7 Septemba 2019

Ubadilishanaji wa wafungwa kati ya Urusi na Ukraine huenda ukaimarisha uhusiano kati ya mataifa hayo mawili, rais wa zamani wa Zimbabwe Robert Mugabe kuzikwa katika makaburi ya mashujaa wa kitaifa nchini humo na Upinzani Uingereza wasema hakuna uchaguzi mpaka Johnson azuie Brexit isiyokuwa na makubaliano.

https://p.dw.com/p/3PDew