1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 07.01.2024

Josephat Charo
7 Januari 2024

Mfalme Abdullah wa Pili wa Jordan amemhimiza Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Athony Blinken ashinikize usitishwaji mapigano katika Ukanda wa Gaza. Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Baerbock kuzuru Israel. Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud amesaini abatilisha mkataba wa Somaliland na Ethiopia.

https://p.dw.com/p/4ax9P