1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni: 06.08.2022

6 Agosti 2022

Taiwan yahofia kuvamiwa na China baada ya ziara ya Spika wa Bunge la Marekani. Japan inaadhimisha kumbukumbu ya miaka 77 ya shambulizi la Hiroshima na Nagasaki. Na Mkuu wa Shirika la Amnesty International nchini Ukraine ajiuzulu.

https://p.dw.com/p/4FDR2