1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo Ya Jioni: 04.03.2023

4 Machi 2023

Rais wa Tume ya Ulaya atangaza makubaliano ya kuishtaki Urusi kwa uhalifu wa kivita. Korea Kaskazini yaitupia lawama Marekani kuhusu kusambaratika kwa mfumo wa kimataifa wa kudhibiti silaha. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron awasili mjini Kinshasa.

https://p.dw.com/p/4OG07