1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo Ya Jioni: 02.10.2022

2 Oktoba 2022

Jumuiya ya kujihami ya NATO yaionya Urusi juu ya vitisho vyake vya nyuklia. Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani atoa wito wa kusitisha vita nchini Ukraine. Lula na Bolsonaro wachuana vikali katika uchaguzi wa rais nchini Brazil.

https://p.dw.com/p/4Hf81