1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni 01.04.2023

SK2 / S02S1 Aprili 2023

Wizara ya ulinzi ya Urusi yatangaza kupeleka silaha zaidi kwa wanajeshi walioko uwanja wa vita Ukraine // Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, ameapa kupambana dhidi ya mashitaka yanayomkabili // Viongozi wa Sudan wameahirisha kutiwa saini kwa makubaliano kulikopangwa kufanyika leo Jumamosi.

https://p.dw.com/p/4Pajy