1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya asubuhi ya Jumamosi

TSA / S08S22 Oktoba 2022

Shirika la Afya Ulimwenguni WHO, limesema mripuko wa Ebola wa Uganda umekuwa na mabadiliko ya kasi. ----Mkutano wa 20 wa chama cha Kikomunisti cha China unakamilika wikendi hii ------Jenerali anayeendesha mikakati mipya ya kijeshi ya rais Vladmir Putin nchini Ukraine ni mtu mwenye sifa mbaya ya ukatili

https://p.dw.com/p/4IXdk