1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi, saa 12:08 (Afrika Mashariki)

21 Julai 2020

Baada ya kurejea kwa mahusiano ya kidiplomasia, Cuba na Marekani bado hazipikwi chungu kimoja/ Idara ya usalama ya Misri imeendelea kuwafuatilia wakosoaji wanaoishi nje ya nchi kuwanyamazisha / Morocco huenda ikafaidika wakati makampuni ya Ulaya yakiathirika kutokana na janga la virusi vya corona/ Utafiti: Ifikapo mwaka 2100, idadi ya watu kote ulimwenguni itakuwa ni watu bilioni 8.8

https://p.dw.com/p/3fd6E