Jumuiya ya kujihami ya NATO inaelekea kwenye mwaka mpya 2021 kwa matumaini makubwa ya kuanzisha upya uhusiano na nchi za Ulaya na Marekani// Rais ajaye wa Marekani Joe Biden huenda akafanya maisha ya Rais wa Urusi Vladmir Putin kuwa magumu pindi atakapoingia madarakani// Hata baada ya kufikiwa makubaliano ya Brexit, kwa wengi mchakato huo bado ni kitendawili.