1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi - 29.09.2019

TSA / S08S29 Septemba 2019

Zoezi la kuhesabu kura limeanza nchini Afghanistan baada ya uchaguzi wa siku ya Jumamosi. Muungano wa Falme za Kiarabu na Bahrain zimetaka ulimwengu kuchukua hatua thabiti dhidi ya Iran. Watu 36 wamekufa kwenye ajali ya barabarani nchini China.

https://p.dw.com/p/3QQni