1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi: 28.05.2017

28 Mei 2017

Katika matangazo yetu leo asubuhi:Mkutano wa viongozi wa G7 wamalizika katika kisiwa cha Sicily nchini Itallia.Polisi nchini Uingereza watoa picha za mshambuliaji wa Manchester kabla ya shambulio lenyewe. Maelfu ya raia wa Uhispania waandamana katika mji wa Madrid kupinga sera za uchumi na kijamii za serikali ya kihafidhina ya nchi hiyo

https://p.dw.com/p/2dhIX