1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya asubuhi 25.11.2017

Yusra Buwayhid
25 Novemba 2017

Rais mpya wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa atakuwa kiongozi wa aina gani? Nchini Tanzania, vyama vya siasa vinakamilisha kampeni za uchaguzi wa madiwani. Na katika ligi kuu ya kandanda ya Ujerumani, Bundesliga, Borrusia Dortmund wanatarajiwa kukwaana na Schalke 04 katika uwanja wa Signal Iduna Park.

https://p.dw.com/p/2oEhJ