1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya asubuhi 22.09.2018

22 Septemba 2018

Tanzania ingali ikiomboleza vifo vya watu waliokufa kutokana na ajali ya kivuko cha MV Nyerere katika Ziwa Viktoria mkoani Mwanza. Cameroon inajiandaa kuelekea kwenye uchaguzi wa rais mwezi Oktoba 7 na Kwa mara ya kwanza nchi hioyo ya Afrika Magharibi ya Cameroon inaelekea katika uchaguzi wa rais ambao jukwaa la mitandao ya kijamii linachukuwa nafasi kubwa kabisa.

https://p.dw.com/p/35KBb