1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya asubuhi 14.01.2017

14 Januari 2017

Katika matangazo ya asubuhi leo: Syria yailaumu Israel kwa kuushambulia uwanja wake wa kijeshi wa ndege. Balozi wa Marekani wa Umoja wa Mataifa amtaka Trump asisitishe mchango wa nchi hiyo katika Umoja wa Mataifa. Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Frank-Walter Steimeier asema Colombia imefungua ukurasa mpya wa historia kutokana na juhudi za amani baina ya serikali na waasi wa FARC

https://p.dw.com/p/2Vnc5