1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi 05.05.2019

TSA / S08S5 Mei 2019

Rais wa Venezuela amelitaka jeshi la nchi hiyo kujiweka tayari dhidi ya uvamizi kutoka nje. Mamlaka nchini Algeria zimemkamata kaka wa rais wa zamani Abdelaziz Bouteflika. Mashambulizi ya anga ya vikosi vya serikali yamewauwa watu tisa nchini Syria.

https://p.dw.com/p/3HwQE