1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi 02.04.2021

TSA / S08S2 Aprili 2021

Baada ya karibu wiki moja ya mapigano makali, waasi wa Msumbiji wanadhibiti karibu nusu ya mji muhimu wa Palma na hivyo kuuongeza mgogoro mkubwa sehemu hiyo.// Upinzani wa kiraia dhidi ya mapinduzi ya kijeshi nchini Myanmar umeaminika kuwa ni njia pekee ya kutaka nchi hiyo kurejea kwenye uongozi wa kiraia.// Mjadala wa nani atarithi kiti cha Rais Paul Biya umekuwa jambo la kushindaniwa kisiasa.

https://p.dw.com/p/3rWCm