1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo wa Mchana: 30.06.2019

30 Juni 2019

Rais Donalad Trump wa Marekani amekutana na kiongozi wa Korea Kaskazini katika eneo lisilo la kijeshi la mpaka wa Korea mbili na viongozi wa Umoja wa Ulaya wanatarajiwa kukutana baadae leo kwa lengo la kutoa majibu ya nani atakaechukua nafasi muhimu za juu za umoja huo.

https://p.dw.com/p/3LM4O
USA | Nordkorea | Entmilitarisierte Zone | Donald Trump | Kim Jong Un (AFP/Getty Images/B. Smialowski)
Picha: Getty Images/AFP/B. Smialowski