1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangaza ya jioni 28.07.2018

Yusra Buwayhid
28 Julai 2018

Papa Francis akubali uamuzi wa kujiuzulu kadinali Theodore McCarrick, kutokana na madai ya kumdhalilisha kingono mvulana wa miaka 11. Carles Puigdemont aondoka Ujerumani na kwenda Ubelgiji baada ya waranti wa kukamatwa kwake kufutwa na Uhispania. Na, Zimbabwe yakamilisha kampeni leo hii ikingoja uchaguzi mkuu Jumatatu ijayo.

https://p.dw.com/p/32FRa