Matukio mbalimbali duniani ya jinsi virusi vya corona vinavyoendelea kuutikisa ulimwengu/ IMF limeamua kutoa mikopo ya dharura kwa nchi maskini, hatua hii ina maana gani kwa mataifa hasa ya eneo la Afrika Mashariki?Miaka ishirini imetimia tangu Rais Paul Kagame wa Rwanda alipoingia madarakani.