1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mataifa yakutana Zanzibar, kujadili ulinzi wa haki za wabunifu

Salma Said11 Julai 2022

Wawakilishi kutoka mataifa 40 ya Afrika wanakutana visiwani Zanzibar kwa siku tano mfululizo kujadili namna ya kuendeleza wanasayansi na ubunifu ili kuweza kulinda haki za wabunifu na kuchangia katika maendeleo ya bara la Afrika ambalo bado linasalia nyuma kimaendeleo. Salma Said alituandalia taarifa hii.

https://p.dw.com/p/4DyRf