1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Watetezi wataka haki itendeke kufuatia mauaji huko Goma

Amina Mjahid1 Septemba 2023

Mashirika ya kutetea haki za binaadamu yanapigania kupatikana kwa haki kwa watu wanaodaiwa kuuwawa na jeshi mjini Goma. DW imezungumza na Mwanaharakati wa mashirika ya kiraia Etienne Kambale kutoka kivu ya kaskazini.

https://p.dw.com/p/4Vpy4