1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mario Götze arejea Bundesliga

Josephat Charo
27 Juni 2022

Mario Goetze arejea katika Bundesliga kutoka PSV Eindhoven. FC Cologne yamrefushia mkataba kocha wake Steffen Baumgart. Sadio Mane kuvaa jezi nambari 17 Allianz Arena. Wekundu wa msimbazi Simba walambishwa mchanga na maafande ligi kuu ya soka Tanzania bara.

https://p.dw.com/p/4DJhG