1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maridhiano ya kisiasa yatafikiwa nchini Tanzania?

John Juma23 Mei 2022

Majadiliano kati ya chama tawala nchini Tanzania CCM na vyama vingine vya kisiasa yakiendelea, kamati kuu ya CCM imetoa baraka kwa mwenyekiti wake Rais Samia Suluhu Hassan kuendelea na majadiliano hayo kwa lengo la kupata muafaka wa kisiasa kati ya chama tawala na upinzani. Tunaweka suala hilo kwenye mizani. John Juma amezungumza na mchambuzi Saidi Nguba anatoa tathmini yake.

https://p.dw.com/p/4BkmE