1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mariam Hamdani, mtengenezaji mkongwe wa filamu Zanzibar

19 Juni 2024

Bi Mariam Hamdani anakaribia umri wa miaka 80 na bado anaendelea kuandika na kuongoza filamu zake mwenyewe baada ya miaka mingi ya utumishi wa umma na ushiriki kwenye masuala ya michezo na utamaduni visiwani Zanzibar.

https://p.dw.com/p/4hCnN