1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Marekani yaitaka Rwanda kuacha kuiunga mkono M23.

28 Oktoba 2022

Serikali ya Marekani imetoa wito kwa Jeshi la Rwanda liache kuwaunga mkono waasi wa M23 waliopo katika mapigano na jeshi la Congo upande wa Mashariki mwa taifa hilo, hatua inayoendelea kuwahangaisha wananchi huku wengi wao wakikimbilia nchi jirani. Je Kauli kama hizi zitabadilisha chochote katika machafuko ya Congo?

https://p.dw.com/p/4InPR