1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Marafiki wa kalamu wangalipo?

10 Februari 2014

Kuandikiana barua kwa marafiki lilikuwa jambo muhimu, la kistaarabu na la kuwaunganisha watu kutokea pande mbalimbali ulimwenguni kabla ya simu za mikononi na mitandao ya kijamii kuchukuwa nafasi ya mahusiano hayo.

https://p.dw.com/p/1B61O
Barua ya mashabiki wa Michael Schumacher, bingwa wa zamani wa mbio za magari duniani.
Barua ya mashabiki wa Michael Schumacher, bingwa wa zamani wa mbio za magari duniani.Picha: picture-alliance/dpa

Katika makala haya ya Vijana Mchamchaka, Bruce Amani anajaribu kuangalia ikiwa bado dhana ya urafiki wa kalamu inaendelea kuwa na umuhimu katika zama hizi za njia mpya za mawasiliano.

Mwandishi: Bruce Amani
Mhariri: Mohammed Khelef