1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mapinduzi ya kiteknolojia Qatar 2022

Sylvia Mwehozi
14 Desemba 2022

Teknolojia za hali ya juu zimekuwa zikitumiwa katika michuano iliyopita ya kombe la dunia. Wakati Qatar ilipochaguliwa kuandaa michuano ya mwaka 2022, nchi hiyo ilitangaza kuwa itatumia ubunifu mkubwa wa kiteknolojia kufanikisha michuano hiyo. Sylvia Mwehozi anakujuza zaidi katika Sema Uvume.

https://p.dw.com/p/4Kvbq