1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mapinduzi ya kilimo barani Afrika yawezekana

Mohamed Karama Dahman1 Februari 2016

Wakati mabadiliko ya tabia nchi yakiukumba ulimwengu na mataifa masikini yakiwa wahanga wakubwa, bado upo uwezekano wa kuleta mapinduzi ya kweli ya kilimo barani Afrika, ambako nusu na robo ya watu wake wanategemea kupata chakula chao kutoka mashambani.

https://p.dw.com/p/1HmtU