1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kwa nini wachezaji kandanda nyota wanaelekea Saudia?

8 Juni 2023

Saudi Arabia imekuwa ikitumia mabilioni ya fedha kuwanunua wachezaji wakubwa wa soka kwenye ligi za Ulaya na kuwapeleka katika Ligi ya taifa hilo tajiri la Mashariki ya Kati. Cristiano Ronaldo na Karim Benzema pamoja na N'golo Kante tayari wamehamia huko. Bruce Amani wa DW anachambua zaidi

https://p.dw.com/p/4SLiI