1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Ali B awekwa kifungoni nyumbani

Saumu Yusuf1 Septemba 2023

Miongoni mwa yaliyoteka anga za habari kutoka barani Afrika ni mapinduzi ya kijeshi nchini Gabon, Jenerali Nguema atangazwa rais wa mpito. Nchini Zimbabwe rais Mnangagwa atangazwa mshindi wa matokeo ya uchaguzi wa rais kiongozi wa upinzani Nelson Chamisa ayakataa matokeo. Na Afrika Kusini yapata msiba mkubwa kufuatia mkasa wa moto uliouwa watu zaidi ya 70.Jiunge na Saumu Mwasimba

https://p.dw.com/p/4VrEK